Kipindi hiki husikika kila siku ya Jumapili saa nane na nusu hadi saa tisa na kamili alsiri (2:30-3:00).
Lengo la kipindi hiki:
- Kutoa elimu kwa wasikilizaji kuhusu haki mbalimbali za binadamu.
- Kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii na Taifa kwa ujumla.
- Kuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Kijiji, wilaya, Mkoa na Taifa.
- Kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii na Taifa kwa ujumla.
Neno La Mungu linasema nini kuhusu haki:
Methali 14:34:-Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wote.

